Sign in to follow this  
raula

shida ya matatu ni furaha ya mabaya

Recommended Posts

Heedhaha ,,,, maad naga daysaan Sawahili gan oo wax aanu garanayno ku hadashaan ,,,

jacaylbaro

 

you reminded me of a guy who used to be my flatmate

 

10 years ago or so i think i used to share this flat with a sijui guy who couldnt speak a word in somali.So one day an elderly man called from somalia looking for the third flatmate.The conversation went like this

 

caller:"war waa kuma"

sijui guy:looks at the phone gets angry thinking the old man is calling him "Kuma" and replies"waa mboro"

caller:thinks the person who answered the phone is called "mboro" and says"War Mboro majoogaa hussein"

 

Sijui guy at this point is on the floor holding his sides and laughing like a mad man. :D

Share this post


Link to post
Share on other sites

:D:D:D:D:D ,,,,, i heard it before and i was laughing like a crazy ,,,,, hehehehe ,,

 

close to this i did it ,,,, there was a friend of mine who doesn't speak Sawahili ,,, just like me ,, but i know a very funny view words ,, (may be strange:D) ,,,

 

He was a driver at our organization,,, so one day he was gonna pick up someone from da airport ,,, da guy was Kenyan ,,, so i told da driver to greet this kenyan man in Sawahili telling him that DUNGA is kinda greeting ,,,,, he said Ok and went ,,,,

 

When da guy arrived ,, he screamed DUNGA ,, and everybody was shocked ,, "wada hell ,,," ,, the guy hurried at him telling him not to say that ,,,,,, he came back to me and asked me if he was wrong ,,, (innocent) ,, i told him "No ,, but u pronounced it wrong" ,,, :D:D

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

Nilienda Tanzania mkowa wa mwanza kumtembelea shangazi wangu enzi zille nilikuwa kijana(sasa nimezeeka).Kiswahili changu hakikuwa kizuri ville.Walikuwa wananiita "mkuja".Shida changu kikuu ilikuwa ni kumwita "ayeyo" nyanya.Kumbe watanzania nyanya ipo sokoni.Watu walikuwa wananicheka mpaka mbavu zao zilikuwa zinakohowa."Ayeyo" wanamwita bibi.Kenya bibi ni mke wako.

 

PS:warior sehemu gani watokea TZ?.Nimewahi kufika mkowa wa mwanza na Shinyanga(Kwa wasukuma).Familia yangu wengine wanaishi Mpanda na Tabora.

PSS: Excuse me, i am loosing my Swahili writting ability.I need to practice it here :D

Share this post


Link to post
Share on other sites

JAC, KKKKKK He said DUNGA, He sure created a scene. :D:D:D

 

STOIC, kiswahili chako kidogo kimerust ;) Wala sishangai kwamba watu walikuwa wanakucheka huko. Cousins wangu wakenya wakija kututembelea hutumia maneno kama nyanya na stima, kwa sababu hiyo nyumbani tumezoea na hata sheng tukajifunza.

 

 

Sasa wataka nikusaidie kurekebisha kiswahili chako ndugu? to return to perfection. ;) Rekebisho la kwanza > Mkoa wa mwanza.

 

Mie mtu wa Dares salaam lakini nilizaliwa Pemba, mama nimkulia wa Zanzibar na baba mkulia wa Tanga. Ndugu zetu wengi wapo Tanga,Arusha na Kenya. Mie Shinyanga wala Tabora sijawahi fika,nasikia jamaa wapo huko na Singida.Miji mengine niliyowahi temebelea ni Tanga, ZNZ, Namanga, Arusha, Dodoma na Moshi.

 

Niliwahi soma na kijana mmoja ambaye kwa bahati nzuri au mbaya tulikuwa na jina la babu sawa.Basi kila mtu, Yule kaka yako? Ndugu yako? alikuwa anatokea Tabora.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Mbona mnasororana waseeee...STOIC kama wajisikia mshow wacha kuhanyahanya beste..mshow tutaku save our best..lakini usijitie mtiaji na hata wewe ni kijikizeee...ama unatotashanisha?.. smile.gifsmile.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

Rende, niaje unanichanua hivyo?.Uliniona nikijiskia na nani eti?.Sababu nilikuwa nimeandika hayo ilikuwa nikujikumbusha kiswahili.Badala ya wewe kuongeza mafikra yako, umeniweka lawama yasiyofaa tabia yangu.Dada Warior alikuwa amejibu maswala yangu vizuri, wewe naye umeanzaa kunibandika maneno yasiyo husu maandishi wangu.Fikiria kabla hujaandika maandishi yako kijana!.Sasa nitakuacha na hayo ili nione kama umefaidika na falsafa hayo!. :mad:

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

Kaka ajifanya kuku mweupe namwona.Nilikuwa namkanya asivuke maji asiyoweza kuyaogelea.Dada, nimeona kwenye sehemu ya wanafunzi umeanza darasa mpya wa lugha ya kiswahili.Nitakuwa mwanafunzi wako.Daftari na kalamu pembeni mwangu!.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by STOIC:

Rende, niaje unanichanua hivyo?.Uliniona nikijiskia na nani eti?.Sababu nilikuwa nimeandika hayo ilikuwa nikujikumbusha kiswahili.Badala ya wewe kuongeza mafikra yako, umeniweka lawama yasiyofaa tabia yangu.Dada Warior alikuwa amejibu maswala yangu vizuri, wewe naye umeanzaa kunibandika maneno yasiyo husu maandishi wangu.Fikiria kabla hujaandika maandishi yako kijana!.Sasa nitakuacha na hayo ili nione kama umefaidika na falsafa hayo!. :mad:

Sheeka yaa rabo!!!!Lolz@falsafa

 

eeeeeeeee ameamuuuuua...lakini mpeleke mdogo mdogo lakini... :D:D:D

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

Heh.Rende, naona unataka ubishi!.Kwa taarifa yako kaka neno falsafa inamaanisha "Philosophy".Hebu sogea karibu nikufundishe hii lugha unayothani ni wewe tu unajuwa kuitumia.Unapo taka kuzozana na watu juwa kwamba wengine wetu hatuna fursa ya kuanzaa ubishi na watu kama wewe.Usifikiriye kwamba watu wote wanafikiria unavyofikiria kila wakati-kupinduwa maneno.

Kwa taarifa yako kaka watu wote si sawa.Wengine wetu ni weusu titi au weupe pepe,Wengine wetu wanapenda kuanza maneno yasiyo na thamani na bali wengine wetu wanapenda kukaa kimya na kuwacheka watu kama wewe amabao wana fikra za kigenini.Juwa binadamu wote si sawa!

Kitu kimoja nitakusifu nikwamba ukiendelea na hii ubishi unaniletea faida ya kukujibu na kiswahili.Na ndio kitu nilicho kitaka! au sio? :D !.

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

Rende wacha vita sasa jamani..unataka kugonganisha watu au nini? salaala...jamaa poa kaa maji ya mtungi walaalo...and please walaahi STOIC ni mwenyeji wa kwetu..so plz be kind to your own..

 

lakini kiswa hizo mnakaranga..jamani it takes me a while kuelewa zingine..although Iam a bit good...

 

ORGI...wanitakia nini mzee ;) si ni kweli..na hiyo kweli ni maendereo :D

 

Ma'salaama

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this