MR ORGILAQE Posted August 10, 2005 Rakiini...?wein bint Raula..mowjood wala eeeeee?Tokea beste nimekumiss.. We umetoka Luakhakha? wacha kuchezea kiswahili ndugu. Quote Share this post Link to post Share on other sites
MR ORGILAQE Posted August 10, 2005 nntawarudia wakati nyingine..lakini WofL...huyu salesman ni hatari kabisa.. Na hiyo ni Maendeleo Quote Share this post Link to post Share on other sites
MR ORGILAQE Posted August 10, 2005 Heedhaha ,,,, maad naga daysaan Sawahili gan oo wax aanu garanayno ku hadashaan ,,, jacaylbaro you reminded me of a guy who used to be my flatmate 10 years ago or so i think i used to share this flat with a sijui guy who couldnt speak a word in somali.So one day an elderly man called from somalia looking for the third flatmate.The conversation went like this caller:"war waa kuma" sijui guy:looks at the phone gets angry thinking the old man is calling him "Kuma" and replies"waa mboro" caller:thinks the person who answered the phone is called "mboro" and says"War Mboro majoogaa hussein" Sijui guy at this point is on the floor holding his sides and laughing like a mad man. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Jacaylbaro Posted August 10, 2005 ,,,,, i heard it before and i was laughing like a crazy ,,,,, hehehehe ,, close to this i did it ,,,, there was a friend of mine who doesn't speak Sawahili ,,, just like me ,, but i know a very funny view words ,, (may be strange:D) ,,, He was a driver at our organization,,, so one day he was gonna pick up someone from da airport ,,, da guy was Kenyan ,,, so i told da driver to greet this kenyan man in Sawahili telling him that DUNGA is kinda greeting ,,,,, he said Ok and went ,,,, When da guy arrived ,, he screamed DUNGA ,, and everybody was shocked ,, "wada hell ,,," ,, the guy hurried at him telling him not to say that ,,,,,, he came back to me and asked me if he was wrong ,,, (innocent) ,, i told him "No ,, but u pronounced it wrong" ,,, Quote Share this post Link to post Share on other sites
STOIC Posted August 12, 2005 Nilienda Tanzania mkowa wa mwanza kumtembelea shangazi wangu enzi zille nilikuwa kijana(sasa nimezeeka).Kiswahili changu hakikuwa kizuri ville.Walikuwa wananiita "mkuja".Shida changu kikuu ilikuwa ni kumwita "ayeyo" nyanya.Kumbe watanzania nyanya ipo sokoni.Watu walikuwa wananicheka mpaka mbavu zao zilikuwa zinakohowa."Ayeyo" wanamwita bibi.Kenya bibi ni mke wako. PS:warior sehemu gani watokea TZ?.Nimewahi kufika mkowa wa mwanza na Shinyanga(Kwa wasukuma).Familia yangu wengine wanaishi Mpanda na Tabora. PSS: Excuse me, i am loosing my Swahili writting ability.I need to practice it here Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted August 12, 2005 JAC, KKKKKK He said DUNGA, He sure created a scene. STOIC, kiswahili chako kidogo kimerust Wala sishangai kwamba watu walikuwa wanakucheka huko. Cousins wangu wakenya wakija kututembelea hutumia maneno kama nyanya na stima, kwa sababu hiyo nyumbani tumezoea na hata sheng tukajifunza. Sasa wataka nikusaidie kurekebisha kiswahili chako ndugu? to return to perfection. Rekebisho la kwanza > Mkoa wa mwanza. Mie mtu wa Dares salaam lakini nilizaliwa Pemba, mama nimkulia wa Zanzibar na baba mkulia wa Tanga. Ndugu zetu wengi wapo Tanga,Arusha na Kenya. Mie Shinyanga wala Tabora sijawahi fika,nasikia jamaa wapo huko na Singida.Miji mengine niliyowahi temebelea ni Tanga, ZNZ, Namanga, Arusha, Dodoma na Moshi. Niliwahi soma na kijana mmoja ambaye kwa bahati nzuri au mbaya tulikuwa na jina la babu sawa.Basi kila mtu, Yule kaka yako? Ndugu yako? alikuwa anatokea Tabora. Quote Share this post Link to post Share on other sites
RendezVous Posted August 13, 2005 Mbona mnasororana waseeee...STOIC kama wajisikia mshow wacha kuhanyahanya beste..mshow tutaku save our best..lakini usijitie mtiaji na hata wewe ni kijikizeee...ama unatotashanisha?.. Quote Share this post Link to post Share on other sites
STOIC Posted August 13, 2005 Rende, niaje unanichanua hivyo?.Uliniona nikijiskia na nani eti?.Sababu nilikuwa nimeandika hayo ilikuwa nikujikumbusha kiswahili.Badala ya wewe kuongeza mafikra yako, umeniweka lawama yasiyofaa tabia yangu.Dada Warior alikuwa amejibu maswala yangu vizuri, wewe naye umeanzaa kunibandika maneno yasiyo husu maandishi wangu.Fikiria kabla hujaandika maandishi yako kijana!.Sasa nitakuacha na hayo ili nione kama umefaidika na falsafa hayo!. :mad: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted August 13, 2005 KKK STOIC, Kaka sema, bila ya kuogopa. RENDE, Acha zako bro, unatutishia bila sababu Quote Share this post Link to post Share on other sites
STOIC Posted August 13, 2005 Kaka ajifanya kuku mweupe namwona.Nilikuwa namkanya asivuke maji asiyoweza kuyaogelea.Dada, nimeona kwenye sehemu ya wanafunzi umeanza darasa mpya wa lugha ya kiswahili.Nitakuwa mwanafunzi wako.Daftari na kalamu pembeni mwangu!. Quote Share this post Link to post Share on other sites
RendezVous Posted August 14, 2005 Originally posted by STOIC: Rende, niaje unanichanua hivyo?.Uliniona nikijiskia na nani eti?.Sababu nilikuwa nimeandika hayo ilikuwa nikujikumbusha kiswahili.Badala ya wewe kuongeza mafikra yako, umeniweka lawama yasiyofaa tabia yangu.Dada Warior alikuwa amejibu maswala yangu vizuri, wewe naye umeanzaa kunibandika maneno yasiyo husu maandishi wangu.Fikiria kabla hujaandika maandishi yako kijana!.Sasa nitakuacha na hayo ili nione kama umefaidika na falsafa hayo!. :mad: Sheeka yaa rabo!!!!Lolz@falsafa eeeeeeeee ameamuuuuua...lakini mpeleke mdogo mdogo lakini... Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted August 14, 2005 RENDE , Ntakunyonga :mad: Quote Share this post Link to post Share on other sites
STOIC Posted August 15, 2005 Heh.Rende, naona unataka ubishi!.Kwa taarifa yako kaka neno falsafa inamaanisha "Philosophy".Hebu sogea karibu nikufundishe hii lugha unayothani ni wewe tu unajuwa kuitumia.Unapo taka kuzozana na watu juwa kwamba wengine wetu hatuna fursa ya kuanzaa ubishi na watu kama wewe.Usifikiriye kwamba watu wote wanafikiria unavyofikiria kila wakati-kupinduwa maneno. Kwa taarifa yako kaka watu wote si sawa.Wengine wetu ni weusu titi au weupe pepe,Wengine wetu wanapenda kuanza maneno yasiyo na thamani na bali wengine wetu wanapenda kukaa kimya na kuwacheka watu kama wewe amabao wana fikra za kigenini.Juwa binadamu wote si sawa! Kitu kimoja nitakusifu nikwamba ukiendelea na hii ubishi unaniletea faida ya kukujibu na kiswahili.Na ndio kitu nilicho kitaka! au sio? !. Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted August 16, 2005 Rende wacha vita sasa jamani..unataka kugonganisha watu au nini? salaala...jamaa poa kaa maji ya mtungi walaalo...and please walaahi STOIC ni mwenyeji wa kwetu..so plz be kind to your own.. lakini kiswa hizo mnakaranga..jamani it takes me a while kuelewa zingine..although Iam a bit good... ORGI...wanitakia nini mzee si ni kweli..na hiyo kweli ni maendereo Ma'salaama Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted August 16, 2005 Raula, bora na we useme, wajua he even said, mplekee mdogo mdogo (kidogo kidogo would have been perfect) yani ananiuza na mie. Im very disappointed with him. Sisi sote ni ndugu. Quote Share this post Link to post Share on other sites