Warrior of Light Posted March 28, 2004 KULIKUA NA WATU WATANO WAKISAFARI ANGANI NI WALIKUA GEORGE W BUSH SCHOOL KID POPE PAUL PILOT NA BILL GATE KATIKA SAFARI ANGANI NDEGE ILIHARIBIKA NA IKAWABIDI WAVAE MAPARACHUTI WARUKE KWA BAHATI MBAYA KULIKUA NA MAPARACHUTI MANNE TU GEORGE W BUSH AKARUKA NA KUJITETEA ALISEMA MIMI NI BUSH SIWEZI KUFA NI PRESSIDENT WA USA PRESIDENT MWENYE AKILI SANA DUNIANI NIKIFA DUNIA PIA ITAKUFA. MTOTO AKAMPA BEGI MOJA AKARUKA NALO. AKAJA POPE PAUL AKASEMA MIMI NI MWANA DINI DUNIANI SIWEZI KUFA WAKAMPA AKARUKA. AKAJA PILOT AKASIKITIKA NA KUSEMA KAMA ANAFAMILIA NDIO KWANZA AMEZAA HAWEZI KUIACHA FAMILIA YAKE NA AKAPEWA NA KURUKA. SASA BADO YULE MTOTO NA BILL GATES BILL GATES AKASEMA WEWE CHUKUA NAARUKA MIMI NI TAJIRI SANA KILA NINACHO TAKA DUNIANI NAPATA SASA SIONI TENA RAHA YA DUNIA WACHA NIFEE... MTOTO ALIJIBU USIWE NA WASI WASI YAPO MAWILI YAMEBAKI YULE PRESSIDENT WENU MWENYE AKILI SANA DUNIANI AMEVAA BEGI LANGU LA SKULI(backpack) BADALA YA PARACHUTI KALIACHA... Quote Share this post Link to post Share on other sites