Business_Man Posted August 23, 2003 Vipi kaka zangu na ma dada?, poa sana. Na andika kwasababu nataka nijuwe kwamba nani anajua kiswahili katika Somalia Online. Peace. P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri! :rolleyes: . For those who dont understand this then I suggest you get a translator! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted August 23, 2003 P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri! Bachelor, wacha vita wewe, niaje beste lakini... hujui kuna waswahili hilisi kati zetu? a-ah ama mbona sisemi wahenga wenye kiswahili sanifu Sinaneno jamaa, langu nikujaribu kufunza kiswahili tena. Kwa-ajili kiswahili kimeni-wacha zamani zakale! Aw vep' mazee? Bonga neno! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Juxa Posted August 23, 2003 bisinka, macbuudka kkkkkkkkkkkkk, shall we have to assume u guyz been kambo kenyati Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 23, 2003 Originally posted by Continental Batchelor: Vipi kaka zangu na ma dada?, poa sana. Na andika kwasababu nataka nijuwe kwamba nani anajua kiswahili katika Somalia Online. Peace. P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri! :rolleyes: . For those who dont understand this then I suggest you get a translator! Looool..bro..kuna watu wengi wanavyojuwa kiswahili..chunga hiyo mdomo yako wacha vituko Quote Share this post Link to post Share on other sites
Mindstate Posted August 23, 2003 sthml lady ... watu wengi wako wapi ? jamaal mzee una ongeya kiswahili YA ki sanifu Quote Share this post Link to post Share on other sites
Mindstate Posted August 23, 2003 lol juxa camp ya kenyatta waligeey ma maqlin jebkaada miyaa? Quote Share this post Link to post Share on other sites
imperial-lady Posted August 23, 2003 ReeeR utanga fest at sol :eek: :eek: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Business_Man Posted August 23, 2003 Meme ni mtu wa Hargeysa lakini nimezaliwa Mogadishu!. Nilikua na ka na ayeyo wangu uko Tabora, Tanzania. Yeye ndiyo amenifundisha Kiswahili cha mana!.Nilikua ulaya kwa miyaka kumi na nne! STLHM Lady......Vipi dada, Na penda sista zangu waa africa sana lakini walendo wa uko somalia hawana mapango mazurisana! Vipi Mindstate....Wewe ni mtu wa mana sana!. Welcome. Peace. Quote Share this post Link to post Share on other sites
A7LA-SHU Posted August 23, 2003 does hakuna matata counts?? hahaha.. i just wanna to say dat. so peace in the middle east.. 1 luv Quote Share this post Link to post Share on other sites
Thinkerman Posted August 24, 2003 Walaahi seeing you guys writing swahili so well reminds me of how much i have forgten, lakini hakuna matata , inshallah nata rudi ile mahli mi na ita Njumba Yangu soon Quote Share this post Link to post Share on other sites
kiLLaflows Posted August 24, 2003 lol jamaal & mindstate i can guess u guys.... ni watu ya nairobi ...lol jamaal una ongeya slang beste lol.. u remined me kenya ku sema kuweli batchelor kiswahli yako ni noma lakini hana homa lol j/k Mindstate .. sema mshamba siku hizi huonekane? Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted August 24, 2003 Hey waswahili wenzangu... walaahi kiswahili yangu is not to the standard. I have forgotten much of it, thats why I don't join swahili cirlces that much. Master-Mafia lol I know beste is a nairobi thing... just as words like "innit!" is a London thing lol. I hope we'will all beinmg able to practice thru SOL. Asanteni Quote Share this post Link to post Share on other sites
murefu Posted August 24, 2003 ati watu unaongeya kisiwahili hapa...mluuuuuuuuuuuuuundooo..alukuwa around..oye bebuwa islii mi na fkiriya watu ya jam-street NI around.. maajoOOOOOOOOOOOOOO mi najuwa huyu pkeyake ni watu yaa JAM-STREET Quote Share this post Link to post Share on other sites
kiLLaflows Posted August 24, 2003 Originally posted by murefu: [ hapa...mluuuuuuuuuuuuuundooo..alukuwa around..oye bebuwa [/QB] uta ni pepa wapi ? Kikombay ama ngara waraa wewe ni watu ya jam street it seems wewe ni watu ya "mira" Murefu maxaa gabar chips radineeso isbaaro udhigatay Quote Share this post Link to post Share on other sites
maajo Posted August 24, 2003 waaaw,nani hyu? murefu ama ..sema besteee..hali ni vipi..ati bebuwe islii ..loooooooooooooool.. niyaje bana..saihi mi niongeya URDU jo..nime sahawu kisiwahili ..sasa hapari ya uko bana...or hapari ya kanii bana...soul-night watu wana endha uku indiyo:) muurefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..watu ya zamani ..(waweynka ) salimya watuyangu ..me iko hapa hapa to.. study nime over lakini ..nowhere to go.. Quote Share this post Link to post Share on other sites