Macalin Posted August 8, 2002 awww,,thats soo moviing yo. is that the life ya chokora? ingawa nime sahau some words,nime fahamu ma'ana ya shairri. wallahi ina move kweli. heko dadangu umeni fanya ni ongea na mathee leo.lol Lul.iii don get the spreading the romour thingi..come again sis? Quote Share this post Link to post Share on other sites
QUANTUM LEAP Posted August 8, 2002 Binadamu na Kompyuta Kwa siri yake mtungi, aijuaye ni kata, Na nyumba bila msingi, utapasuka ukuta, Kila palipo na wengi, na mambo ya yatambata, Kugunduliwa kompyuta, binadamu hana kazi. Binadamu hana kazi, kugunduliwa kumpyuta, Si fumbihili ni wazi, wala si ndoto kuota, Kugunduliwa kompyuta, binadamu hana kazi. Vidato utapitia na cheti utakipata, Kwa madhumuni na nia, ajira kutafuta, Patupu taambulia, au kama siyo kusota, Kugunduliwa kompyuta, binadamu hana kazi. Daima unapotwanga, ni lazima kupepeta, Kutenga chuya na chenga, ungo utaukamata, Hapa ukishaboronga, mchele hataupata, Kugunduliwa kompyuta, binadamu hana kazi. Kuadimika ajira, kwa wasomi ni ukata, Makubwa yake madhara, binadamu kumkuta, Ni faida na hasara, kompyuta imeshaleta, Kugunduliwa kompyuta, binadamu hana kazi. Sematini, N. Sematin (Sauti ya Bembea), Quote Share this post Link to post Share on other sites
QUANTUM LEAP Posted August 8, 2002 Swahili Poem Kazi ni wajibu wetu Nashika yangu kalamu, maoni nipate toa Huku nimetaka damu, mada kwa Wasomali Wale wote wahitimu, elimu zote dunia Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni. Kuna waodiriki, kusema kazi ni wito Mwalimu mshika chaki, pamoja nao mfuto Anasema kwa hakiki, pia kwenda kwa minato Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni. Hakika ninatambua, wito ni kwa kuitika Wito si kazi najua, ninasema kwa hakika Daktari atanambia, eti wito kaitika Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni. Hata naye bwana shamba, atadaia na wito Pande zote anatamba, kumbe anacho kipato Namuona fundi bomba, anasema ana wito Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni. Ikiwa kazi ni wito, ya nini kurandaranda Londoni, New York, hadi Eastleigh, binadamu unakwenda wapi Ni nani amekuita, ikiwa kazi ni wito. Huko kote ndugu huna, kama unaye bandia Ni shida imekubana, kisa umekimbilia Riziki kitu mwanana, umekwenda tafutia Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni. Wito kweli siyo kazi, ni kujitoa mhanga Kazi kipato azizi, sikilizeni malenga Wa Seatle hadi TO, Ottawa na Ohio Kazi wajibu wetu, watu wote sikieni. Watawa na makasisi na mabruda kadhalika Wasema bila utani, wito wanao hakika Fani zao ni unesi, na ualimu hakika Pia wanavyo vipato, kwa Rabi wameitika. Sisi sote tuna kazi, wito kwetu ni kidogo Hakuna cha kijakazi, mbeba bure mizigo Sote ni wafanya kazi, hata kubeba magogo Kazi ni wajibu wetu, watu wote sikieni Quote Share this post Link to post Share on other sites
HONEY-D Posted August 8, 2002 LOL @L LAKAD I MEANT MA SAWAHILI SONG. I HOPE U HAVENT TOLD ANY1 :mad: (JUST KIDDING ). :cool: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted December 18, 2002 Originally posted by STHLM_Lady: MAMANGU ULINITUPA Ulinitupa kwa pipa,nife niwe takataka. Ukakimbia kwa pupa,kisiri ukaondoka. Ikawa umenihepa,pasi hofu na mashaka. Mamangu ulinitupa nimwite nani mamangu? Umrefu umfupi,nashindwa kuyatamka. Wala sijui U wapi,mwanao nahangaika. Mie nikupate vipi,inijibu kwa hakika. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Katika kazi zangu fikira,sijui nilikotoka. Naelezwa na hadhara,mimi ni mkosa tabaka. Kwa jina mimi chokora,jijini na zunguka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Nilijikuta jijini,kila pembe nazunguka. Mchana niko mbioni,barabarani naruka. kubwa napigiwa haoni,magari nikiepuka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Vile ulivyoyawaza,uniache kwenye nyika. Heri ungenimaliza,kabisa na kunizika. Heri ningalioza nisikupe heka heka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Naambiwa hujafariki,Ungaliko wazunguka. Kusini na mashariki,huchagui japo rika. Ela siku ya harikiki,mwanao nimeshachoka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Kutwa ninavuta gamu,ndipo nilewe haraka. Si kwamba ninayo hamu,nakuomba hivi shika. Majina kama wazimu,naitwa hata kizuka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? WoW --- Naskiya mbaya sasa hivi STHLM_LADY. Hii shairi ilinichafua roho kabisa. Asante sana siste. Hiki na shairi mmoja ... nili-iandika sasa hivi, hapo papo... Hatujui maishi ni mifupi Hatujui masaa mangapi tutaishi Sina la kusema kuhusu maishani Nina omba Mwezi Mungu atupakishe Kotoka shida na fitna ya duniani Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted December 18, 2002 there is this song ...the chorus goes like this... wewe ndugu sikilezeni niwaabieee.. wakati nilipo oa, mke mmoja mrembo naa akaleta hasara kuvunjavunja vikombe, kuvunjavunja visahani.. and the beat goes on......... Ndugu wangu wote walikataaa... walisema, Afunge aende kwao(*2) ......... wakati ujao...i will recite ...some poetry .... Quote Share this post Link to post Share on other sites
Thinkerman Posted December 19, 2002 Well here is a nursery rimme i rember from back in the day Nairiobi town. Dosh Kidogoyo ame hara kuwa mekebe # ame seme ni wageni wagnei wa ma sema ni dosh kidogoyo lol Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted December 22, 2002 jamaal...kiswahili yako sanifu...kweli ulikuwa unaishi mombasa ama?lol..unlike mine...lol yangu ni hivi.....fadeee..chota do leo..naishia town.. lol i like this one.....bestee..mdomo yako inatupa jo...ama...matako juu juu ka break ya honda ume paraara ka socks ya mkamba..walaaahi those were the days. raula sis...that was a great song.... there is also this song i heard and changed a little...here it goes na toka ndani ya nyumba niki merameta ka nyota,unewaza kuwa kipofu. kutoka ju mpaka chini nimeva versace,marashi ya gucci kwahivyo visuri nanukia..AH gari ni 504, fungua dirisha jo, kuna jotonto. then i dont know the rest... shujui looooooooooool.. una kumbuka hii, askari kanga kanga askari kanga kanga.. Tumbo mbele ...matako nyuma...piga saluti...looooooool Quote Share this post Link to post Share on other sites
Thinkerman Posted December 24, 2002 lol very good am impressed. Hey do u rember how in kenya ppl would say (when someone requsted that u return to them somethin the gave u, money, clothing, goat ) "Ndugu hakuna Haraka. Nta ku rudishia saileh Issa ame ruudi " lol that use to kill me. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted December 28, 2002 i like this one.....bestee..mdomo yako inatupa jo...ama...matako juu juu ka break ya honda ume paraara ka socks ya mkamba..walaaahi those were the days. LoooooooooooooooooL STHLM_Lady lol hehehehe 'Ume paraara kaa socksi ya mkamba' lol LoL I use to like this one ... "We, Kichwa yako inakaa kaa rungi ya masaai" lol Kenyans are dead funny you know that. One time we were in a movie and the actor was actually tip-toeing to kill an enemy :Aduwi: and so these kamba fella was sitting the raw infront of us just turn back and told us to shut up! "We Wariya Nyamaaza...usipige kelele aw ma-aduwi wata sikia actor" He sais ..shut up waryaa...if you make noises then the actor will be heard by the enemies ...so shut up.... I started laughing and went on laughing for 2 whole days... Quote Share this post Link to post Share on other sites