Macalin Posted July 15, 2002 waraa Jay..daamn you..ya thats how it was. now i know. peace Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted July 16, 2002 LoL lakkad./...it seems we know the smae version of the gabay Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted July 17, 2002 jamal..yes so it seems.. and only certain ppl can know it...mhm i wonder where u from?..same lineage? holla back Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 4, 2002 Mbona mulikuwa mna jificha? Alaa,sikukuwa nadani muna elewa kiswahili..... Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 4, 2002 And here are some proverbs you forgot,jamaal. Asiye funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengua. Asiye sikiya la mkuu huvunjika guu. Mchagua jembe si mkulima. I gotta go for know...until next time. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 4, 2002 And here are some proverbs you forgot,jamaal. Asiye funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengua. Asiye sikiya la mkuu huvunjika guu. Mchagua jembe si mkulima. I gotta go for now...until next time. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted August 5, 2002 stckholmlady. nani ana jificha> siye lakkad. wengi wanajua swahili, tuje tukae salama Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted August 5, 2002 Kwangu kusema kiiswahili ni ta'abo kidogo, kwa hivyo afadali ni nyamaze kabisa. Nilikuwa mtoto kidogo masiku zile nime jefundiza lugha la kiswahili lakini sasa hivi nimeisahawu lengi. No ngeli yango "Sux", Nina juwa tuna wahenga kati wetu (kama STLHM_lady). I have tried.....my swahili doesn't rhyme but there you go...! This is a swahili poem i wrote.....the gramer sucks i know but ..try to understand it please... Usiniite "wee ni mlendo", Pole pole ndiyo mwendo Watu wadani sina pesa Na wanaanza kuni tesa Ingawa nili toka Somalia Kenya indipo nili-Somea Askari waketutisha wakAIBA pesa zetu sasa sina MPENZI wa Afrika Wala sitaki kurudi Somalia Bado niko mkimbizi Na maisha si rahisi WaSomali hawapendani Pundiki ilio tukimbiza Na hapo papo kuna mavisu Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted August 5, 2002 Jamal. saaxib thats some deep shyt yo. and u claim ur swahili doesnt ryhme? woow..i don wanna say anythin else. kwa hivyo..keep up the good JOBO..ama. basi ma'asalama Quote Share this post Link to post Share on other sites
HONEY-D Posted August 5, 2002 wat is this? sawahili praticing room well in dat case let me share. is it 2late to join da class. i just wanna share ma fav sawahili song and this is how it goes! jumbo jumbo sana masuuri sanaa ha kuna mataata dont know da rest 4give . how do u like da song. :cool: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 5, 2002 wewe ni mnoma jo.Mbona unasema aujui ku rhyme kiswahili, hiyo ilikuwa ina tisha..... Endelea tu,keep up the good work. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted August 7, 2002 lol..canbarro. its jambo jambo bwana habari gani msuri sana. wageni wa karibishwa somaliaonline yetu(u can fix it) hakuna matata,. somaliaonline..ni site nzuri sana*2 somaliaone hakuna matata i changed the somaliaonline thingi to best describe it. well there u have it. and yes jamal like..sthlady said,u got it the dude ni NOMA..and yes ana TISHA Quote Share this post Link to post Share on other sites
CARTAN Posted August 7, 2002 Nimanyahow far Soomaalidaa, fiicanoo ladane! Fudayd bay u dhigantaa ninkii, fiirsadoo qora’e Fagaaraha wixii lala tagoo, faansan waayada’e Max'ed Ismaaciil ------- War sxb-yaal, are we expecting to achieve fame & fortune when using those sort of foreign languages? I don't think that would be possible in any means, because one would know or understand what the consequence of that should be. Wallaahi, I wonder what enticed most of our folks to be a cheap tool and extension of Afafka Ajnebiga. War niman yahaw Afkeena aan ku faanno, kor u qaadno, wax isku weydaarsano oo aan ilaalino sharrafta, sumcadda & qiimihiisaba, sida ay tixdaa koreba tilmaamayso, oo sxb-yaal aan ka waantowno Afafkaa qalaad, ma wanaagsanee. Allaa Weyn Ninkii aaminaa Awood leh! Quote Share this post Link to post Share on other sites
HONEY-D Posted August 7, 2002 Lakkad thnx 4 ur correction. i guess dat shows ma poor understanding of da language.next time i'll double check. :confused: lakkad 1 more thing dont u dare spread a rumours.I'm too sensitive if u know wat i mean. :mad: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ayaan8321 Posted August 7, 2002 saana lakkad..tuma badilisha hii section into a swahili section..lol..But what the heck,tuendeleye tu I have a poem here: MAMANGU ULINITUPA Ulinitupa kwa pipa,nife niwe takataka. Ukakimbia kwa pupa,kisiri ukaondoka. Ikawa umenihepa,pasi hofu na mashaka. Mamangu ulinitupa nimwite nani mamangu? Umrefu umfupi,nashindwa kuyatamka. Wala sijui U wapi,mwanao nahangaika. Mie nikupate vipi,inijibu kwa hakika. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Katika kazi zangu fikira,sijui nilikotoka. Naelezwa na hadhara,mimi ni mkosa tabaka. Kwa jina mimi chokora,jijini na zunguka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Nilijikuta jijini,kila pembe nazunguka. Mchana niko mbioni,barabarani naruka. kubwa napigiwa haoni,magari nikiepuka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Vile ulivyoyawaza,uniache kwenye nyika. Heri ungenimaliza,kabisa na kunizika. Heri ningalioza nisikupe heka heka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Naambiwa hujafariki,Ungaliko wazunguka. Kusini na mashariki,huchagui japo rika. Ela siku ya harikiki,mwanao nimeshachoka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Kutwa ninavuta gamu,ndipo nilewe haraka. Si kwamba ninayo hamu,nakuomba hivi shika. Majina kama wazimu,naitwa hata kizuka. Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu? Quote Share this post Link to post Share on other sites