Paragon Posted June 20, 2002 Karibu karne ya 21 Karne ya ishirini, tunaiaga kwaheri Mambo mengi yahisani, yamezidi kunawiri Tanzania tumewini, tunayo mengi mazuri Ya ishirini kwaheri, karibu karne mpya. Karne ya ishirini, ukoloni ulijiri Tuliishi mashakani, na mara tukahubiri Nyerere katia fani, hakupenda kusubiri Ya ishirini kwaheri, karibu karne mpya. Tumepata hali njema, Uhuru na Jamhuri Mapinduzi ya salama, tumepata Zanzibar Tumeungana kwa wema, Tanzania mashuhuri Ya ishirini kwaheri, karibu karne mpya. Tunaishi vema hasa, kwa kufundishwa ya heri Ya zamani sio tunayo mambo mazuri Misiba imetupasa, kwa uwezo wa kabari Ya ishirini kwaheri, karibu karine mpya. Ya ishirini na moja, karne mpya dhahiri Hivi sasa inakuja, twaipokea buheri Tunaomba kwa pamoja, Tanzania iwe heri Ya ishirini kwaheri, karibu karine mpya. Binadamu tujuwane, tumeumbiwa safari Karne hadi karne, wengi wameshasafiri Baraka tuombeane, tuishi kwa kunawiri Ya ishirini kwaheri, karibu karine mpya. Sayansi teknolojia, hayo ni mambo mazuri Yote tutafuatilia, kwa amani na suruni Ni uwezo wa jalia, hatuwezi kughairi Ya ishirini kwaheri, karibu karne mpya. Kaditama hapa basi, mwisho wa langu shairi Ninamuomba kudusi, atupe kila la heri Karne mpya halisi, dunia yote tayari Ya ishirini kwaheri, karibu karne mpya. Rajabu A. Kirobo Tandika Azimio S.L.P. 100146 Dar es Salaam. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted June 20, 2002 Usinione nasinzia uyasemayo nayasikia - You see me dozing but I hear whatever you say Chanda chema huvikwa pete - A favourite finger gets a ring on. --------------- Mtoto umleavyo indivyo akuavyo, nami nika dhani kuishi ulayani itani ficha kotoka asli wangu. Najua kiswahili langu si mzuri lakini wacha tu ni jaribu kuandika tena. Saa zingine si pendi ku sema kiswahili lolote labda sababu ni yakuwa ngeli ya kiswahili ni ngumu sana. Hey to all those who speak or write swahili, lets practice it here. My swahili is not good at all. i neglected it for so long and i hope i wil be able to write it again, insha-Allaah. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Pujah. Posted June 22, 2002 jamaal_11 haya ni mashairi mazuri....sikuwa nadani unajuwa kiswahili. mtu yoyote mbao anajua kiswahili aingiye hapo...lakkad najua unaelewa swahili kuwa hivyo una ongojea nini.....join the crew Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted June 25, 2002 kiswahili ni luqa mimi na fahamu. luqa ya kiafrika..originali luqa ni swahili! jamal.ashante kaka..indhadeeq dadangu mpenzi..ni fanye wewe na nini!?..usijali..najua! kwa hayo machache..masalama!wenzangu! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Miskiin-Macruuf-Aqiyaar Posted June 25, 2002 Salaan... Iyaaah, mahaan dey Sawaaxili aaba jac iyo juq laga siinoyaa, maan. Wewe kuli umbaya kabisa. Xagiyaa Mungo. Saasaa gaani wakara bisha, saa niini, ya samaaniya. Kamansiyaa, leeta kabaandha biloosho? Hakuna kabaandha. Leeta $$, iko naaniya hakuna doolariya. Ar kaas af Kiikuuyo uu ahaa. Afkaas maxaa ka helaa hee. Af Kiikuuyo nooh. Saan lee ma dhihi jirinoo: Atararee oo kahaa aahaah. You would really think they are really laughing when they speak. Kiikuuyo dheh bo. _____________ Macsalaama!! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted June 25, 2002 Indho_deeq, Sista shairi hilo la kwanza si yangu lakini imeandikwa na mshairi kutoka Dari-salaam, TZdi. Mwuandikaji huyo ana astajabu, kwa sababu anajua mengi ku husu siaya ya Tanganyika. Mimi ninasema kiswahili kidogo tu, lakini kama ningejua inyingi ninge jaribu ku andika mashairi lengi. Kwaherini Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted June 25, 2002 MMA> made me laugh wallahi...ala kanaaa..maxaa kabandha leeta laguguu dhibe..yaah..kukuuyadana waa kudhibeen day haye?> anyways.,..u made me laugh with ur swaxili...amazing!! Quote Share this post Link to post Share on other sites
jogoo Posted June 28, 2002 hey theres this swahili saying haba na haba and u know once some somali guy was asked in class and guess how he replied this is what he said haba na haba ni obbosite ya bale na bale is that really correct? siyo simba wala yanga aliyeona lango la mwenzake Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted July 3, 2002 lol@ jogoo! haba na haba hujaza something..but obbosite..or obaaseed..lol..thats some sheet soni. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted July 9, 2002 Haba na haba hujaza kibaba is like little and little fills something like a container. It is about accumilating of little things fills a bigger place. The oposite of this in somali will be like this = Hadal badani haan ma buuxsho. and there is haraka haraka haina baraka = degdegsiinyadu ma laheh barako Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted July 9, 2002 This are some of the swahili proverbs i love.. Methali za Kiswahili as they cal it... Adhabu ya kaburi aijua ni maiti = Cadaabta qabriga waxaa ogsoon maitkii ku jira Akiba haiozi = Keeydkaad dhigato kaama qurmo or A reserve will not decay Akili nyingi huondowa maarifa = A great wit drives away wisdom Asiye kubali ku shindwa si mshindani = He who does not accept defeat is not a sportsman Baada ya dhiki faraja = After hardship comes relief or Raaxadu dhikeey ka dambeysaa kawia ufike = better delay and get there Kiburi si maungwana = Arrogance is not gentlemanly Kidole kimoja hakivunji chawa = One finger cannot kill a louse amba far qudha ma disho injir --similar to --- far quddha fool ma dhaqdo Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza = A good thing sells it self a bad one advertises it self Quote Share this post Link to post Share on other sites
nuune Posted July 13, 2002 tis is what we used to say: kucha ma kaalaybaa garissa ma gobolbaa kiimbo ma subagbaa leeta i sii miyaa weew mahadalbaa i forgot the others as well Quote Share this post Link to post Share on other sites
Macalin Posted July 15, 2002 i luaghed at this ones dada wa gabadhiina mkono waa gacan kuja waa kale. kwenda waa bax maji waa bia madow mchele waa bariis. forgt the rest,..,bin a long tyme Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted July 15, 2002 Mikono waa gacmaha miguu waa laba lugood Maaji waa bia madoow Mchele waa bariis (chorus) Aahey, Runtaa (end chorus) Oo midii kale waxaan lahaa Quote Share this post Link to post Share on other sites
Nomadman Posted July 15, 2002 Okay waan fahanahey in aad tahiin qaxootigii xeryahay kenya joogi jirey, waana idiinku faraxsanahey walaahi. waxaa suáal iga ah ma waxaad hada noo sheegeysaan in aad ku gabyeeysaan af sawaxiliga¿? Cajiib Quote Share this post Link to post Share on other sites