IL CAPO Posted September 23, 2004 Originally posted by raula: sasa nafikiri umefahamu Ok...sasa niko na swali:- 1. Namisikia wasee wa Wajer na Garissa wana enda haja kwa ma mitungi ni kweli mambo hayo?(its just a joke..I love wasijui wote walaahi) lakini namwenjoy IL_CAPO. [/QB] Ndio nime ku fahamu lakini Jamani mimi sina hata Ndururu, nikona broke sana na wewe una taka dahabu,gari,nyumba kali,tv na ugali kwa sababu wewe ni mtu ya Rift Valley na Papa wangu hata hana kuku moja let alone Ngamia:( . LooooooooooooooooL,ume anza Mtusi sasa . umeni kumbusha wakati Mzee Moi ali kuja Garissa na ame mambiya watu "Pandeni Mwiti" sasa watu wangu wame kimbizana alafu wote waka panda ma mwiti lakini Mzee Moi meant kusema "Be Farmers" Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warmoog Posted September 23, 2004 SisSade, thank you. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Section6er Posted September 23, 2004 Originally posted by raula: ^^^hehehe. By the way Mr. BARRALAATI quote:my question, i like ths language, but for goodness sake help me out, i forgot most of it since i didn't speak it for quite some time, i only need brush-ups. kama wataka mafunzo ya kukuzidishia kiswahili chako...unajua mi na offer once a week casharka habeenka (wakase noh!)lol-free of charge hadaad casharka le kaso baxdiid -lol. So Sectioner-kaka we ni mzalendo wa kenya mbona unaitwa SIJUI? na umetoka kenya upande gani kijana? Am from kitale, na wewe Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted September 24, 2004 Originally posted by IL CAPO: umeni kumbusha wakati Mzee Moi ali kuja Garissa na ame mambiya watu "Pandeni Mwiti" sasa watu wangu wame kimbizana alafu wote waka panda ma mwiti lakini Mzee Moi meant kusema "Be Farmers" Hehe, kweli duniani kuna mambo. Yasmine, Walalo your welcome. Raula, Wazee wa koasti hawana makuu wantaka springi chi-ken wakuwapikia samaki wa kupaka, au wakuimbia taarabu. Au kuwachezea chakakacha wajua tena. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted September 24, 2004 Kucheza chakacha wa kimombasa - wala la pemba unguja - yazidisha afya mpaka mwili kimetameta na 'afya mbora'. Sasa dadangu SisSade, wa taka kunieleza Raula ni mchezaji wa kiastajabu? Anyway, habari zenu wenzangu waswahili! Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted September 24, 2004 ^^I sense that you would like you some sijui-gal dont worry pumpkin-there are plenty Sasa J11-we unanitusi au nini kakangu. Nakuambia nikianza kusokota kiuno kwa chakachaka-atereere(kikuyu )utasema gai wakwega(mungu saidia in kikuyu )loool. Lakini niwaeleze waswahili wenzangu-walaahi nimesikiza Taarab za unguja/pemba/zanzibar-nawaambia mtapenda pia. J11-we unaweza atleast kumove kwa mziki..au hewezi kutingika hata IL-Capo-ilikuwa joke maze-pole kakangu. sasa waswahili wenzangu..ebu mnipe jokes za kiswahili-nimemiss siku hizi kusikiza vituko vyao. baadaye wenzangu Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted September 24, 2004 ^^^ Wacha kujitia fora Dada Raula, hatujamaliza kubishana bado. Nimesikia kivumo (gossip) yakuwa Raula ana kiumo cha-mgongo , na akijaribu ku sokota na mziki hupatwa na taabu! Salaalah! Sasa hiyo indo kuezeka ... wasemaje Muunguzi wetu halili! Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted September 24, 2004 hehehe..naona ishafika jioni na wakati wa chai eh! na matusi yajaa mdomoni..unazitema kama TAQSIN(remnants ya veve/kengeta/mirungi/miraa )ya jana usiku :rolleyes: lol-kidding. J11-habari zenye zimekufika ati RAULA ana kiuno cha mgongoni umeletewa na watu wako na wivu kama mke aliyepigwa domo(wallac in somali)-wasee hawa hawawezi kupata sura kama yangu -uliza wasee wa Minnesota-(jina langu ni HURUL-AYN wa kinomadi ). J12-nafikiri hiyo mapengo yako (looooooool..kama uko na mapengo..walaahi your combination of poetry and mapengo-is perfect like GITHERI ) imekudanganya. Hamna neno kama UNAMCHUNGUA (peeping) RAULA-siye ni BINTI tu Section6er-ok..we mtu wa kitale eh..me mtu aliyetoka pahali paitwa SHAMUKHOKHO (upande ya waluhya na wamaragoli) Quote Share this post Link to post Share on other sites
Paragon Posted September 24, 2004 ^^^ Dadangu, sijasikia chochote, hiki ni tashtiti(tease) tu! Ijapokuwa nimependelea kukuchokoza wakati-wengi, inajulikana ya kwamba haiba lako ina-angaa Quote Share this post Link to post Share on other sites
Jumatatu Posted September 25, 2004 Hodi hodi..! Salamu Jamani..! Ujambo wote? J11 mdogo wangu acha ku tongoza semeji yako (Raula) ni me rudi sasa... Quote Share this post Link to post Share on other sites
nuune Posted September 25, 2004 abidkeey swahiligaan aa ku hadleesan koo ka adag maba arkin, Mwai Kbaki iyo Odinga Wadinga xataa noocaan kuma hadlaan, aawey noocii aan aqaaney aka jacburis Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted October 2, 2004 jumatatu karibu, watia fora na bendera ya nyumbani hiyo. Raula , dada mpendwa samahani kwa usumbufu nililokutia ( refering 2 chakacha). Lakini majibu yako bomba Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted October 3, 2004 SisSade dada hamna shida-chakachaka,lingala, Taarab,Ndombolo zote nakuambia dada zote nakata hata kinanda ya wakamba akina katitu..looooool IL-CAPO (mzee wa Garissa) umepotea wapi ndugu..ama wataka kuja na hiyo mashairi ya mahaba-bila-sukari sikiza kijana, mimi ni shosho(granny) na mahaba ya kitoto nimezistudy kama kitabu-demu ukimpembeleza umtie madoido nakuambia utabaki na kiatu moja-lakini sijasema ukuwe mkono ngumu pia (a lil' pampering wont hurt, but she has to not recognize it). Halafu pia, wacha mambo ya kulalamika..salaala..we ulikuwa cousins na wakikuyu au nini? gai wakwega SisSade ebu mwelezee mahaba ya ki-TZ dada. J11-(mkimbizi kutoka zambia)msikize ndugu wako JUMANNE Nawe JUMANNE..sijapata mshahara wa mwezi huu..watoto walia hapa ati baba wao yu wapi..nami nimewapa story ati ameenda for RELIEF-AID purposes in SOMALIA Section6er-mimi mtu wa KAPSABET-Jamgee! Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted February 2, 2005 ^^^^walaahi kumbe nilikuwa NOMA siku hizo. Wakati huu kisomali na kienyeji, hata zile za kuomba zimepotea-mungu saidia Quote Share this post Link to post Share on other sites
Passion_4_Fashion Posted February 5, 2005 wakinini kuwa beebe hujana malini, sisanaka kuunto cambuulo wanini. Raula jakle J11 wantaga? lool....ma niki hakuna matata? mahaba ya kitoto sijui. peace n love my sijui ppl Quote Share this post Link to post Share on other sites