Section6er Posted September 21, 2004 This is an opportunity to ask any question that boggles the average nomad. Please feel free to ask the self-proclaimed no it all nomad any questions that need answered. Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted September 21, 2004 SIJUI ni jina lako chali :rolleyes: :rolleyes: :rolleyes: Quote Share this post Link to post Share on other sites
Section6er Posted September 21, 2004 Si jani yangu. Mimi ni sujui lakini, kama umezaliwa kenya una itwa sujui na wele wame zaliwa somalia Quote Share this post Link to post Share on other sites
nuune Posted September 22, 2004 leo mimi sina endha bangaani station kwa sababu jeebu yaangu hikoo sharci kubwa kama gaari mkona. ps: swahili yangu siyoo mzuri alafu mimi na ongea jacburis tu sawasawa kabisa lakini mimi nina fahamu kila kitu lagu hadlo lol my question, i like ths language, but for goodness sake help me out, i forgot most of it since i didn't speak it for quite some time, i only need brush-ups. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Mombasa_QUEEN Posted September 22, 2004 its so hard to forget swahili i mean if you where born in somalia its likely to forget it lakin if not its hard to forget it. tunajuwa sujui yamanisha nini so swali ambayo tuna uliza ni nini lol? Quote Share this post Link to post Share on other sites
nuune Posted September 22, 2004 tunajuwa sujui yamanisha nini so swali ambayo tuna uliza ni nini lol? aamiin, ilaah ha u naxariisto walaalkeen yamanisha Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted September 22, 2004 ^^^hehehe. By the way Mr. BARRALAATI my question, i like ths language, but for goodness sake help me out, i forgot most of it since i didn't speak it for quite some time, i only need brush-ups. kama wataka mafunzo ya kukuzidishia kiswahili chako...unajua mi na offer once a week casharka habeenka (wakase noh!)lol-free of charge hadaad casharka le kaso baxdiid -lol. So Sectioner-kaka we ni mzalendo wa kenya mbona unaitwa SIJUI? na umetoka kenya upande gani kijana? Quote Share this post Link to post Share on other sites
IL CAPO Posted September 22, 2004 Kwani ni lazima wa Sijui to be Mapengo? kwa sababu wengi wao hawana meno, Whats up with that Jamani? nikona Suali ngine, why wanawake wao wakona sura mardadi na wanapenda ku sema "Walalo Squeeze me," Quote Share this post Link to post Share on other sites
IL CAPO Posted September 22, 2004 Originally posted by Section6er: Si jani yangu. Mimi ni sujui lakini, kama umezaliwa kenya una itwa sujui na wele wame zaliwa somalia wale wame zaliwa Somalia ana itwa "Walendo ama Sergeant Waryaa ya Vioja ya Mahakamani" Quote Share this post Link to post Share on other sites
checkmate Posted September 22, 2004 Mimi su'aalaka weeweyaanyo kenyaata sujui..indhiyo laakini boolbaro nahii unajuwa ki sawahili beeni,weewe kuturkutureeni sijui kenyaata ppl, that just made so much sence in my head..loool..raula please translate my swahili, i know it's only you n i that speak the original language of the original ppl....thank you in advance darling asxantu Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warmoog Posted September 22, 2004 I just have one question. Is the word "Sujui" politically incorrect or offensive in any way? I always thought the term seemed a bit rude, but maybe I was wrong in that presumption. Care to clarify for me? Quote Share this post Link to post Share on other sites
Mombasa_QUEEN Posted September 22, 2004 lol il capo kweli wewe ni swahili wa mombasa kama umesema vioja mahakamani lol nime miss hiyo kipindi na hizo zegine kama,vituko tausi,omo pick a box lol thats was the funniest one where people get to pick the box and they get mwiko loool, Quote Share this post Link to post Share on other sites
nuune Posted September 22, 2004 loooool@shoobaro, waryaa waan kaa badiyaa swahiliga aniga dee kama wewe ana is waalwaaloosaa una fungusha madaxi yaako kama ugali bilaa sikumaawiiki tuka tanana bila hifya yana ki barashani habana cheza cheza kama ya dawa ya moto ni moto hakuna kiturikutaano kamaa sema hashi yako raula kama wataka mafunzo ya kukuzidishia kiswahili chako...unajua mi na offer once a week casharka habeenka (wakase noh!)lol-free of charge hadaad casharka le kaso baxdiid -lol raula, mimi na taka wafunza sindhiyo rafiki yangu, na wewe kama na oofer mimi na cashar usi thankiye mara malyiini wa arbacuuni tatu asante aa ku siinaa, mimi na juwa kila cashar wewe usi patiye kama japati haki ya mungu Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted September 23, 2004 Vijana mbona mmenifurahisha kweli. Sasa ni swhili zamani siyo? Boolbaro najua dada yangu Bi Raula ameku-ofa darasa lakini ningependa jua hasa darasa gani unalolitaka? Yasmine, Personally I find the word discriminative. used to address the somali folks who got raised in parts of africa out of somalia. And as a counter action the Sijuis named their fellow brothers in ethnicity -Walendo. But with time ppl got used to the word or title 'sijui' which literary means 'I dont know'. An answer given to the native somali speaker who asked the East African Brother a qn in somali. Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted September 23, 2004 IL_CAPO Kwani ni lazima wa Sijui to be Mapengo? kwa sababu wengi wao hawana meno, Whats up with that Jamani? nikona Suali ngine, why wanawake wao wakona sura mardadi na wanapenda ku sema "Walalo Squeeze me," looooooooool..nakuambia we ulikuwa unafanya kazi VIOJA MAHAKAMANI au nini kijana...walaahi umenivunja mabavu..(and you know wasomali wa kitambo mila zao ilikuwa hivi ..ukimmumiza mwanamke(meaning if you physically harm her..)lazima u mwoe(marry) yeye)...sasa nafikiri umefahamu ok..kujibu swali zako:- 1. ma dem sijui's wako na mapengo kwa vile ugali(kwanza ile nyeupe ya mahindi)ina NGOA(uproots) meno zao...and is hard to retrieve JINO NYEUPE since unga yenyewe ni nyeupe 2. kama hawasemi "walaalo squeeze me" wangesema "ni sosi walaalo"-I actually prefer the latter..lakini IL CAPO..i think ma manzi wa GARISSA ndio wasema "walaalo squeeze me"... Ok...sasa niko na swali:- 1. Namisikia wasee wa Wajer na Garissa wana enda haja kwa ma mitungi ni kweli mambo hayo?(its just a joke..I love wasijui wote walaahi) lakini namwenjoy IL_CAPO. 2. SisSADE..nimependa wasee wa coasti..especially ma zanzibari..sasa dada niwapataje lastly but not least:- BOOLBARO IYO SHOOBARO..loooooooooooool..adinka clowns number hamsini Quote Share this post Link to post Share on other sites