SeeKer Posted May 4, 2010 Originally posted by *BOB: You owe me few BOBs Sir...si nim ku chekesha? BOB :mad: mimi si kijidume bisinka! Kanichekesha kisha kanikasirisha....... watu wa bongo kajulikana kwa maendo yao **waves @ malika** Shikamoo bibiye Quote Share this post Link to post Share on other sites
Maxaatiri Posted May 5, 2010 The Swahili of Sijui's disgusts me no end. How badly must a language be raped, before it is considered something else altogether? Quote Share this post Link to post Share on other sites
Polanyi Posted May 5, 2010 wewe menene. bigasankogu mande abatulu, habariyako. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Malika Posted May 5, 2010 **waves back @ Seeker** Marahaba bibiye, mbona umepotea siku hizi? Zama siku? Quote Share this post Link to post Share on other sites
Jacaylbaro Posted May 5, 2010 Waar niyow maxaad noo soo xasuusinaysaan the golden days os SOL ,,,,,, the Bro family and all the stuff ,,, naga daaya hee ,,, Jacayl Baro - all you know waa 'kuma' aa? Of course ,,,,,,,, Kuma & Mboro, the first to things you start to learn from each language. I can say them in Swahili, Amharic, French and Indonesian. More to come weliba ,, Quote Share this post Link to post Share on other sites
Oz Posted May 5, 2010 JB, that's cold! Feel free to chongoa the last guy to make a post. I'll start with... JB. Budako ni mjinga, first time kupanda ndege alisema shukisha junction ... Quote Share this post Link to post Share on other sites
Malika Posted May 5, 2010 ^ Kiswahili chako,cha nikumbusha mzee mmoja wa Kisomali,ati alimtuma mfanyakazi wake awalete wageni chakula. Mzee:Wewe tia machele[indicating the plates]maga machuzi,letea mageni. Mfanyakazi kafanya kama alivyo tumwa. Kaleta wali mweupe kwa wageni. Mzee: wewe iko wapi machuzi? Mfanyakazi:si umesema ni mwage[looking puzzled].. Mzee:pumbavu wewe,mimi nasema magia muchuzi juu ya muchele.. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Oz Posted May 5, 2010 ^ ^ Yaani ndo hivo sio. Lol Malika una kichwa delicate, ukifikiria sana masikio huingia ndani. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Malika Posted May 5, 2010 ^ ..Wallahi nimesahau matani ya kiswahili.. Quote Share this post Link to post Share on other sites
BOB Posted May 5, 2010 Originally posted by SeeKer: quote:Originally posted by *BOB: You owe me few BOBs Sir...si nim ku chekesha? BOB :mad: mimi si kijidume bisinka!I can't begin to tell you how SORRY I AM...haki ya mungu sikujua...pole sana mbongo. PS. Embarrassment of gigantic proportions even bigger than Gordon Brown's. Peace, Love & Unity. Quote Share this post Link to post Share on other sites
BOB Posted May 5, 2010 Originally posted by Malika: ^ Kiswahili chako,cha nikumbusha mzee mmoja wa Kisomali,ati alimtuma mfanyakazi wake awalete wageni chakula. Mzee:Wewe tia machele[indicating the plates]maga machuzi,letea mageni. Mfanyakazi kafanya kama alivyo tumwa. Kaleta wali mweupe kwa wageni. Mzee: wewe iko wapi machuzi? Mfanyakazi:si umesema ni mwage[looking puzzled].. Mzee:pumbavu wewe,mimi nasema magia muchuzi juu ya muchele.. You can't imagine how much I needed that laughter...Bless you. Peace, Love & Unity. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted May 6, 2010 Originally posted by SeeKer: quote:Originally posted by *BOB: You owe me few BOBs Sir...si nim ku chekesha? BOB :mad: mimi si kijidume bisinka! Kanichekesha kisha kanikasirisha....... watu wa bongo kajulikana kwa maendo yao Nimekuwa lost in translation... Bobs is the kenyan way of saying pesa... yani visenti kidogo.. Au ni kwasababu kakuita Sir,... Seeker chukua hiyo kama sifa, umepewa ujiko kidogo!! By the way BOB hizo jokes za kijapani ni notorious sana.. nyengine hazifai kabisa. Dada Malika, ya kwako kali pia.. umenikumbusha mbali na wazee wakisomali. OZ, Naona upo kwenye mitaa ya kuchonganisha, acha zako!!! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Warrior of Light Posted May 6, 2010 Niwakumbushe jokes za mombasa: One of my old favorites: Kitambulisho Another Abdallah Moi kicheckesho kama Muhindi tambo Quote Share this post Link to post Share on other sites
SeeKer Posted May 6, 2010 BOB its all good and just to clarify I am not from bongo just Mombasa. Malika tafash ya maisha ndio na ngangana naye, lakini alhamdulillah. Natarajia wewe na jamaa mpo salama salimin. WOL aalaa kama ni hivyo kutoka leo nitadunda kila ninapotembea Oz, here are some for you: Kwenu mko wengi mpaka mnagawa chakula na calculator. Manzi wako ni mkonde hadi mkienda kupanda matatu unaambiwa "pole buda lakini hatubebi miwa" wewe ni kichwa ngumu mpaka ulikata kuzaliwa uchi :cool: Quote Share this post Link to post Share on other sites
BOB Posted May 6, 2010 Originally posted by Warrior of Light: Nimekuwa lost in translation... Bobs is the kenyan way of saying pesa... yani visenti kidogo.. Au ni kwasababu kakuita Sir,... Seeker chukua hiyo kama sifa, umepewa ujiko kidogo!! By the way BOB hizo jokes za kijapani ni notorious sana.. nyengine hazifai kabisa. Sis-S@de aka Mbongo Warrior what would I do without you? Malika ni hasidi sana. post kila joke za kijapani ama nitumiye mimi Peace, Love & Unity. Quote Share this post Link to post Share on other sites