Che -Guevara Posted November 26, 2007 Rabi Janada Haka Waraabiyo.I'm sure he is in better place! Quote Share this post Link to post Share on other sites
Ms DD Posted November 26, 2007 Salaam Innaalillaahi Wa ina Illaahi raajicuun. May Allah forgive all his sins and grant him the highest Jannah. May allah ease your families pain Bob. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Pujah Posted November 26, 2007 Innaalilaahi wainaa ilaahi raajicuun Samiri iyo iimaan bro Quote Share this post Link to post Share on other sites
raula Posted December 2, 2007 Ina llilahi wa inna ilehyi rajiun Nakuombea mola akunyepesishie huzuni na subura wako wakati huu. Walalo soma hii dua ikupata wakati..manaake huzuni na kilio haita mrudisha mzazi wako..lakini twakuombea rehma za maulana zamshukia na awe angao wajazi wa Janatul firdowsa--Amin (pia sisi na wazazi wetu insha-allah). Mtume S.A.W. kasema katika Hadithi iliyotolewa na Ahmad, “Atakaepatwa na dhiki au huzuni au ukiwa aombe dua hii ifuatayo, “ ‘‘اللَّهُمَّ إِنِّي عَبْدُكَ ، وَابْنُ عَبْدِكَ ، وَابْنُ أَمَتِكَ في قبضتك . نَاصِيَتِي بِيَدِكَ . مَاضٍ فِيَّ حُكْمُكَ ، عَدْلٌ فِيَّ قَضَاؤُكَ ، أَسْأَلُكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ سَمَّيْتَ بِهِ نَفْسَكَ أَوْ عَلَّمْتَهُ أَحَدًا مِنْ خَلْقِكَ ، أَوْ أَنْزَلْتَهُ فِي كِتَابِكَ أَوِ اسْتَأْثَرْتَ بِهِ فِي عِلْمِ الْغَيْبِ عِنْدَكَ ، أَنْ تَجْعَلَ الْقُرْآنَ رَبِيعَ قَلْبِي ، وَنُورَ صَدْرِي ، وَجِلاءَ حُزْنِي وَذَهَابَ هَمِّي’’ “ALLAAHUMMA INNIY `ABDUKA WABNU `ABDIKA WABNU AMATIKA FIY KABDHATIKA. NAASIYATIY BIYADIKA. MAADHIN FIYYA HUKMUKA `ADLUN FIYYA QADHAA-UKA AS-ALUKA BIKULLI SMIN HUWA LAKA SAMMAYTA BIHI NAFSAKA AU `ALAMTAHU AHADAN MIN KHALQIKA AU ANZALTAHU FIY KITAABIKA AU STA-ATHARTA BIHI FIY `ILMI L-GHAYBI `INDAKA AN TAJ`ALAL QUR-AANA RABIY`A QALBIY WANUWRA SADRIY WAJILAA-A HUZNIY WADHAHAABA HAMMIY.” Maana yake, “Ewe Mwenyezi Mungu! Hakika mimi ni mtumwa Wako, mtoto wa mtumwa Wako, mtoto wa kijakazi Wako, utosi wangu uko mikononi Mwako, yaliyopita kwangu yako katika hukumu Yako, ni usawa kwangu kunihukumu Kwako, nakuomba kwa kila jina ambalo ni Lako ulilojiita kwalo Mwenyewe, au uliloteremsha katika Kitabu Chako, au ulilomfundisha yeyote yule kati ya viumbe Wako, au ulilolihifadhi Wewe Mwenyewe, katika elimu iliyofichika Kwako, nakuomba uijaalie Qurani kuwa niraha na uchanuzi wa roho yangu na nuru ya kifua changu, na utatuzi wa huzuni yangu, na sababu ya kuondoka majonzi yangu.” salaam. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Libaax-Sankataabte Posted December 2, 2007 Ilaahay ha u naxariisto Aabahaa saxiib. Samir iyo iimaan awoowe. Quote Share this post Link to post Share on other sites
Legend of Zu Posted December 2, 2007 Inaa Lilaahi wa Inaa Ilayhi Raajicuun...Brotha Bob I know what you going through....Ilaahay Aabe Janadii ha ka waraabiyo...Danbigiisana ha dhaafo idinkana samir iyo iimaan, geerisidiisa dabadeedna ilaahay culeeskeeda iyo murugteeda ha idin fududeeyo... Quote Share this post Link to post Share on other sites
AfricaOwn Posted December 2, 2007 A bit late but, I'm truly sorry for your lost. May Allah swt give him Jannah. Quote Share this post Link to post Share on other sites