Malika mpenzi,
Aahhh bongo, makumbukumbu tele, we gave all that up for rainy Ulaya. lakini mia nakwambia karibuni tu nakimbia nahama nchi narudi nelipo toka. Maisha ya ulaya yaminitosha, nakwambia sasa hivi tufunge virago..twende nyumbani bibi’a.
Miahsha ya ya kula kuku kwa mlija all the way.